Search

Tuesday, June 18, 2013

Download / Chindo Feat. Filipe-Tik Tak


Ujumbe kwa watu ambao hawajui Hip Hop ni nini. Huu ni wimbo kwa mamluki wote ambao “wanapiga kelele nyingi mtaani” ambazo hazina mbele wala nyuma. Kwa wote ambao wamepotosha na wanaendelea kupotosha sanaa ya Hip Hop. Kama hujui maana halisi ya Hip Hop, basi tuache wenyewe na wala usijitambulishe kama msanii wa Hip Hop!

No comments:

Post a Comment